James Albert ni mwalimu wa ujasiriamali na biashara mwenye uzoefu wa takriba miaka 10, amekua akitoa mafunzo katika wajasiriamali na taasi mbalimbali na kupata matokeo chanya.
Soko la biashara ni mfumo wa kubadilishana bidhaa na huduma ambao hufanya uchumi wa dunia kukua kwa kasi ya juu. Kupitia mabadiliko ya kiteknolojia, kisiasa, na kitamaduni, soko la biashara […]
Kuvutia mteja ni mchakato unaohitaji mkakati mzuri wa mauzo na uhusiano wa kina na wateja. Zifuatazo ni baadhi ya njia zitakazo kusaidia kumvutia mteja katika biashara yako. Kuelewa mahitaji ya […]