Author: James Albert
-
Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji
Utafiti Wa Soko
Utafiti wa soko ni mchakato muhimu katika kuanzisha na kuendesha biashara yenye mafanikio. Huu ni mchakato wa kukusanya, kuchambua, na kutafsiri taarifa kuhusu soko, washindani, na wateja ili kusaidia kufanya […]
-
Biashara 50 Zenye Mtaji Mdogo Nchini Tanzania
Zifuatazo ni biashara ambazo unaweza kufanya nchi Tanzanzia kwa kutumia mitaji midogo. Kuuza Vyakula vya Mtaa: Vyakula kama chapati, vitumbua, maandazi, na samaki wa kukaanga vinaweza kuuzwa kwenye maeneo yenye […]
-
Kuongeza followers
Kuongeza followers katika akaunti za mitandao ya kijamii ni suala muhimu ambalo unatakiwa kuliwekea mkakati. Mkakati wa kuvutia wafuasi kwenye akaunti yako ya mitandao ya kijamii kwa biashara ni hatua […]
-
Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji
Chagua Jina La Biasha
Chagua jina la biashara ambalo litaleta tija katika maendeleo ya biashara yako Kuchagua jina la biashara ni hatua muhimu katika kuanzisha biashara yako. Jina la biashara linaweza kuwa sehemu muhimu […]
-
Mwaka Mpya
Kuanza mwaka mpya kunaweza kuwa fursa nzuri ya kuweka malengo mapya, kuboresha maisha yako na kuchukua hatua mpya. Hapa kuna njia kadhaa unazoweza kuanza mwaka mpya: Weka Malengo Tathmini mafanikio […]
-
Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji
Namna Ya Kuanzisha Biashara
Namna ya kuanzisha biashara ni hatua muhimu na inahitaji mipango mizuri ili kuhakikisha mafanikio ya biashara yako. Hapa chini kuna mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jnamna ya kuanzisha […]
-
Mambo Muhimu Kuhusu Soko
Sokoni ni eneo ambalo wauzaji wa bidhaa na wanunuzi wa bidhaa hukutana kubadilisha thamani vitu. Katika nyakati hizi soko la bidhaa linaweza kuwa ni kwa njia ya mtandao hivyo sio […]
-
Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji
Mambo Muhimu Kuhusu Mkopo
MKOPO ni kiwango cha fedha ambacho mtu hupewa na taasisi ya kifedha na kutakiwa kurudisha kiwango hicho kikiwa na riba kwa kipindi cha muda fulani. Mkopo unaweza kuwa katika mfumo […]
-
Usimamizi Wa Fedha
Usimamizi wa fedha ni mchakato muhimu ambao unahusisha kutunza, kutumia, na kuwekeza pesa kwa njia ambayo inahakikisha ustawi wa kifedha wa mtu binafsi au biashara. Usimamizi wa fedha ni namna […]
-
Hatua tisa za kuanzisha biashara.
Kuna baadhi ya hatua ambazo ni lazima uzifanye mwanzoni kabisa mwa biashara yako, vinginevyo biashara yako itakufa ingali bado changa au itasimamishwa na mamlaka husika za kisheria. Hatua zifuatazo zawaeza […]









