{"id":907,"date":"2024-07-13T09:41:53","date_gmt":"2024-07-13T09:41:53","guid":{"rendered":"https:\/\/kidato.co.tz\/?p=907"},"modified":"2024-07-13T09:41:53","modified_gmt":"2024-07-13T09:41:53","slug":"hatua-tisa-za-kuanzisha-biashara","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/hatua-tisa-za-kuanzisha-biashara\/","title":{"rendered":"Hatua tisa za kuanzisha biashara."},"content":{"rendered":"<div class=\"post-body-container\">\n<div id=\"post-body-4314402892326014900\" class=\"post-body entry-content float-container\">\n<div dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\">\n<p>Kuna baadhi ya hatua ambazo ni lazima uzifanye mwanzoni kabisa mwa biashara yako, vinginevyo biashara yako itakufa ingali bado changa au itasimamishwa na mamlaka husika za kisheria.<\/p>\n<p>Hatua zifuatazo zawaeza kukusaidia katika kupanga,kujiandaa na kuingoza biashara yako kwa ufanisi mkubwa zaidi:<\/p>\n<\/div>\n<ol>\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Andaa mwongozo wa biashara ( Business plan)<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Mwongozo huu utakusaidia \u00a0kukupa dira ya namna ya kuanza na kuendesha biashara yako kwa ufanisi.<\/div>\n<ol start=\"2\">\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Tafuta msaada na mafunzo ya kibiashara<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Tumia fursa za bure za kujifunza \u00a0zinazopatikana mtandaoni au fursa za bei rahisi zinazotolewa katika makongamano ya ujasiriamali na uwekezaji hapa nchini.<\/div>\n<ol start=\"3\">\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b> Chagua eneo sahihi la kuiweka biashara yako.<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Tafuta ushauri wa namna ya kuchagua eneo ambalo ni rafiki kwa \u00a0aina ya biashara unayotaka kufungua na pia ni rafiki kwa wateja watarajiwa. Pia fanya utafiti ili kuweza kuchagua eneo sahihi la biashara yako.<\/div>\n<ol start=\"4\">\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Tafuta mtaji kwa ajili ya biashara yako<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Tafuta mikopo yenye riba nafuu na yenye masharti ambayo \u00a0utayamudu \u00a0huku ukizingatia hali yako ya kiuchumi (Usijiingize kwenye mkopo wowote ambao hujui namna ambavyo utaweza kuulipa).<\/div>\n<div dir=\"ltr\">Njia mbadala ya kupata mtaji ni kujiunga na kuchangia nguvu na wajasiriamali wenzako au kujiunga na mtu au taasisi yenye fedha ambazo ipo na utayari wa kuziwekeza kwenye biashara\/mradi (venture capital).<\/div>\n<div dir=\"ltr\">Usisahau mtaji wa kwanza ni wazo la biashara ulilonalo lakini pia kuna aina ya biashara ambazo hauhitaji mtaji kwa maana ya fedha mfano biashara ya kuandaa na kusimamia matukio ( Event Planning and Management).<\/div>\n<ol start=\"5\">\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Amua mfumo \u00a0wa kisheria wa \u00a0umiliki ambao \u00a0utakaifaa biashara yako<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Amua aina ya umiliki ambao ni mwafaka zaidi kwa ajili ya biashara yako: Umiliki binafsi(sole proprietorship), biashara ya ushirikiano(partnership), kampuni(corporation) \u00a0au chama cha ushirika(cooperative).<\/div>\n<ol start=\"6\">\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Sajili jina la biashara yako.<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Sajili jina la biashara yako katika mamlaka ya usajili wa biashara katika nchi yako ( kwa Tanzania mamlaka husika ni BRELA). Kitendo cha kusajili jina la biashara yako kitaipa biashara mtazamo chanya ( credibility) kwenye macho ya jamii na wateja watarajiwa.<b><\/b><\/div>\n<ol start=\"7\">\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Jisajili kwenye mamlaka za kodi na pia jisajili kwenye mamlaka za za mji au jiji ili kupata vibali vya kufanya biashara katika eneo husika.<\/b><\/div>\n<\/li>\n<li dir=\"ltr\">\n<div dir=\"ltr\"><b>Jifunze \u00a0haki na wajibu \u00a0wa mwajiri na mwajiriwa.<\/b><\/div>\n<\/li>\n<\/ol>\n<div dir=\"ltr\">Katika uhai wa biashara yako utahitaji kuajiri wasaidizi na ili kukwepa kufikishwa katika vyombo vya sheria ni vyema ukajifunza haki zako(mwajiri) na haki za mwajiri kwa mujibu wa sheria za nchi mapema ili wakati utakapo fika uweze kuzitimiza kikamilifu.<b><\/b><\/div>\n<div dir=\"ltr\">Mfululizo wa makala zinazochambua kila hatua kwa kina zitafuata hivi karibuni.<\/div>\n<div dir=\"ltr\"><\/div>\n<div dir=\"ltr\"><b><u>WITO<\/u><\/b><\/div>\n<div dir=\"ltr\">Kama umependezwa na makala hii tafadhali washirikishe wenzako kwenye mitandao ya jamii ili na wao wapata fursa ya kujifunza.<\/div>\n<\/div>\n<\/div>\n<div class=\"post-sidebar\">\n<div class=\"post-share-buttons post-share-buttons-top\">\n<div class=\"byline post-share-buttons goog-inline-block\"><\/div>\n<\/div>\n<\/div>\n<\/div>\n<div class=\"post-bottom\">\n<div class=\"post-footer\">\n<div class=\"post-footer-line post-footer-line-1\"><\/div>\n<\/div>\n<\/div>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Kuna baadhi ya hatua ambazo ni lazima uzifanye mwanzoni kabisa mwa biashara yako, vinginevyo biashara yako itakufa ingali bado changa au itasimamishwa na mamlaka husika za kisheria. Hatua zifuatazo zawaeza [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":940,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"_monsterinsights_sitenote_active":false,"_monsterinsights_sitenote_note":"","_monsterinsights_sitenote_category":0,"footnotes":""},"categories":[20],"tags":[],"ppma_author":[26],"class_list":["post-907","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-biashara"],"aioseo_notices":[],"authors":[{"term_id":26,"user_id":1,"is_guest":0,"slug":"admin","display_name":"James Albert","avatar_url":{"url":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-content\/uploads\/2024\/07\/james_bio.jpeg","url2x":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-content\/uploads\/2024\/07\/james_bio.jpeg"},"0":null,"1":"","2":"","3":"","4":"","5":"","6":"","7":"","8":""}],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/907","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=907"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/907\/revisions"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/media\/940"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=907"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=907"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=907"},{"taxonomy":"author","embeddable":true,"href":"https:\/\/kidato.co.tz\/biashara\/wp-json\/wp\/v2\/ppma_author?post=907"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}